Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 12:12

Museveni atangazwa mshindi, jeshi lawekwa mitaani

Tume ya uchaguzi ya Uganda imemtangaza rais wa muda mrefu Yoweri Kaguta Museveni kama mshindi wa uchaguzi wa rais wa 2016. Kiongozi huyo amepata karibu asili mia 61 za kura zote na hasimu wake mkuu Kizza Besiegye alipata asili mia 35.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG