Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 03, 2025 Local time: 01:25

Rais Kenyatta azindua miradi muhimu eneo la Pwani la Kenya

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya atembelea miji mbali mbali ya pwani na kuzindua ujenzi wa barabara ya uwanja wa ndege wa Moi, mradi wa maji wa Faza-Vumbe, kukabidhi hati za kumiliki ardhi na kuhudhuria maulidi ya Lamu miongoni mwa shughuli alizofanya mnamo mwisho wa wiki ya kwanza ya 2016

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG