Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Januari 05, 2025 Local time: 06:08

Wapiganaji wa M23 wateka miji zaidi mashariki ya DRC

Wapiganaji wa kundi la M23 wanaelekea kusini katika jimbo la Kivu Kusini baada ya kuuteka mji wa Sake ulioko magharibi ya Goma, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kaskazini siku ya Ijuma.Wananchi wanakimbia mapigano wakibeba kila wanachoweza kubeba.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG