Akiadhimisha siku ya mashuja rais Obama amemteuwa mkuu mpya wa majeshi na kuwapongeza mashuja wa vita walotowa mhanga maisha yao
Majadiliano juu ya miaka 48 baada ya kuundwa Umoja wa nchi za Afrika, nini kinahitaji kufanyika kukamilisha lengo la Umoja huo.
Mjadala mpya umezuka baada ya Rais Obama kusema picha ya kiongozi wa al Qaida haitochapishwa kwa ajili ya usalama wa kitaifa.
Rais Barack Obama ametangaza kwamba majeshi ya Marekani yamemuwa gaidi kuu aliyekuwa akisakwa duniani, Osama Ben Laden.
Mkuu wa tume ya uchaguzi, Attahiru Jega ametangaza uchaguzi wa bunge unaahirishwa hadi Aprili 9, ukifuatiwa na wa Rais na wa majimbo
Serikali za Kivu huko DRC na wanaharakati wanaomba muda zaidi kabla ya kutekelezwa kanuni za kukagua madini yanyoingia Marekani
Mchezaji Filamu mashuhuri aliyejulikana kutokana na urembo wake Elizabeth Taylor amefariki akiwa na umri wa miaka 79.
Majeshi ya Libya yatengua ndege ya kijeshi ya upinzani karibu na Benghaz licha ya tangazo la kusitisha mapigano lililotolewa na Gadhafi
Majeshi ya serikali ya Libya yamekuwa yakishambulia vikali na kuteka baadhi ya miji iliyokuwa inashikiliwa na wapiganaji wa upinzani
Majaji wa mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu ICC wamewaamrisha watuhimiwa 6 wa ghasia na mauwaji baada ya uchgauzi mkuu wa Kenya wa 2007
Wahamiaji wanaowasili kwenye mpaka wa Tunisia kutokea Libya wamepunguwa, na msaada wa kimataifa unaongezeka waeleza maafisa wa IOM
Wakuu wa Tanzania wanaimarisha juhudi za kutanzua tatizo la uhaba wa umeme, na wabunge watoa mapendekezo ya kulitanzua tatizo hilo.
Viongozi wa upinzani wa DRC wanapanga kukutana kujadili mkakati wa kukabiliana na shambulizi dhidi ya ikulu, amesema Vital Kamerhe
Watu wasiojulikana wameshambulia ikulu ya rais wa DRC wakati rais Kabila akiwa hayupo nyumbani. Washambuliaji saba wameuawa
Watu kadhaa wajeruhiwa katika ghasia zilizozuka wakati wa kupiga kura katika uchguzi mkuu wa Uganda
Vyama vya upinzani nchini Uganda kwa mara nyingine tena wametoa wito wa kuahirishwa uchaguzi mkuu kwa madai ya kasoro na wizi wa kura.
Maelfu na maelfu ya wanadamanaji wanaoipinga serikali ya Yemen na ya Algeria waliandamana kutaka viongozi wao kuondoka madarakani
Maafisa wa usalama wa DRC wakamata ndege ya wafanyabishara magendo ya madini ikiwa imepakiza kilo 435 za dhahabu na mamilioni ya dola
Viongozi wa dunia wamataka rais Mubarak kuanza utaratibu wa kuleta mabadiliko yatakayo mulika matakwa ya wananchi na uchaguzi huru
Maafisa wa tasisi ya kimataifa ya kupambana na ukimwi kifua kikuu na malaria, wanakosoa ripoti juu ya matumizi mabaya ye fedha zake.
Pandisha zaidi