Ungana hapa na Abdushakur Aboud akiongoza majadiliano kuhusu Umoja wa Afrika pamoja na Profesa Bashiru Aly wa chuo kikuu cha Dar es Salaam, Amina Zuberi, mwanaharakati wa masuala ya wanawake huko Mombasa, Ryamond Maro wa chuo kikuu cha USIS mjini Nairobi, na Museke Dide mwandishi habari mjini Beni DRC.
Afrika imesherekea miaka 48 baada ya kuundwa Umoja wa Nchi za Afrika, Mei 25, jee nini kinahitaji kufanyika kukamilisha lengo la Umoja huo?