Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumamosi, Januari 25, 2025 Local time: 02:05

Wamarekani wamuaga George H.W. Bush

George H.W. Bush alifariki Ijuma Nov. 30 akiwa na umri wa miaka 94 baada ya kuugua kwa muda mrefu. Rais huyo wa 41 aliyetumikia mhula mmoja pekee kuanzia 1989 hadi 1993, atafanyiwa maziko ya kitaifa siku ya Juamtano katika kanisha kuu la Kikatholiki mjini Washington, kabla ya kurudishwa nyumbani Houston kwa maziko siku ya Alhamisi.

Pandisha zaidi

Makundi

XS
SM
MD
LG