Nchini Rwanda siku ambazo hazina magari mitaani kama siku ya leo ya Jumamosi mamlaka zinageuza barabara kuwa viwanja vidogo vya tennis. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ushiriki wa jamii ya watu wa Rwanda katika mchezo huo na jinsi ulivyopokewa na wazee na vijana nchini humo. Endelea kusikiliza...