Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 19:58

Historia yajirudia : Ufaransa yanyakuwa Kombe la Dunia 2018


Historia yajirudia : Ufaransa yanyakuwa Kombe la Dunia 2018
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:01 0:00

Timu ya Ufaransa wametwaa Kombe la Dunia 2018 baada ya mchuano mkali kati yake na Croatia siku ya Jumapili Julai 15, 2018.

Ufaransa iliifunga Croatia magoli 4-2 katika fainali hiyo iliyofanyika Russia. Mechi hizo zilichezwa kati ya Juni 14 - Julai 15, 2018.

Makundi

XS
SM
MD
LG