Radio
19:30 - 19:59
Shirika la mafuta la kitaifa la Libya lasitisha uchimbaji wa mafuta kwenye kinu muhimu nchini kufuatia maandamano.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.