Marekani yaadhimisha sikukuu ya Martin Luther King Jr huku uchaguzi wa awali ukianza katika jimbo la Iowa
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake.
Wanamazingira wataka viongozi wa nchi zisizofungamana na upande wowote -NAM kuweka shinikizo kwa nchi zilizoendelea
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.