Radio
06:00 - 06:30
Somalia yakataa kufanya aina yoyote ya mazungumzo na Ethiopia hadi mkatakaba wenye utata uvunjwe.
Somalia yakataa kufanya aina yoyote ya mazungumzo na Ethiopia kuhusu mkataba wa Addis Ababa na eneo la Somalia lililojitenga la Somaliland, hadi mkatakaba wenye utata, kati ya Ethiopia na Somaliland, uvunjwe.
19:30 - 20:29
Changamoto na mivutano iliyopo katika Jumuiya ya Afrika mashariki inasababishwa na kwamba muungano uliopo ni wa kisiasa na haujakamilika
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.