Mchambuzi wa masuala ya usalama aeleza jinsi wakimbizi kutoka Somalia wanatarajia kufaidika kutokana na nchi yao kuingia kwa jumuiya ya Afrika Mashariki
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.