Radio
16:30 - 17:00
19:30 - 19:59
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken akutana na Rais wa Mamlaka ya Palestina Mohamoud Abbas.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken alijadili mageuzi ya kiutawala na Rais wa Palestina Mahmoud Abbas wakati wa mkutano wao leo Jumatano katika Ukingo wa Magharibi, pamoja na juhudi za kuimarisha misaada ya kibinadamu kwa watu wa Ukanda wa Gaza.