Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 20:42

Rais Samia wa Tanzania na Rais Ruto wa Kenya wakubaliana kuimarisha sekta ya biashara


Rais Samia wa Tanzania na Rais Ruto wa Kenya wakubaliana kuimarisha sekta ya biashara
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:24 0:00

Rais wa Jamhuri ya Kenya William Samoei Ruto pamoja na ujumbe wake wafanya ziara ya kwanza ya kikazi nchini Tanzania. Rais Ruto amefanya mazungumzo na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wamezungumza mambo kadhaa ikiwemo biashara. Mwandishi wetu anakuletea taarifa kamili...

XS
SM
MD
LG