Katika mkutano wa kilele wa Umoja wa Afrika uliofanyika Addis Ababa, Ethiopia, viongozi wa Afrika walimchagua Waziri wa Mambo ya Nje wa Djibouti, Mahmoud Ali Youssouf, kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC). Youssouf alishinda nafasi hiyo baada ya kuwabwaga wagombea wengine wawili: Raila Odinga, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, na Richard Randriamandrato, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Madagascar. Ungana na mwandishi wa VOA, Kenya Zainab Said akikuletea mtiririko wa mambo mbali mbali yanayo elezwa na wachambuzi na wananchi wa Kenya kuhusu safari ya Odinga ya kisiasa na vipi imeweza kuchangia kuanguka kwake katika uchaguzi huu. Endelea kusikiliza...
Matukio
-
Machi 14, 2025
Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025
Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025
Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 11, 2025
Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC
Forum