Olengurumwa alizungumza na mwandishi wa Sauti ya Amerika, Idd Ligongo ambaye yuko New York kufuatilia mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambao umeanza tarehe Septemba 19, 2023.
Tanzania: Mratibu wa Kitaifa wa haki za binadamu aeleza hatari za kupoteza umoja wa kitaifa
Matukio
-
Desemba 17, 2024
Makundi ya haki yanafurahia mahakama maalum ya uhalifu wa Gambia
-
Novemba 23, 2024
Mwanamuziki Chris Stapleton atwaa tuzo 4 za muziki wa Country