Benki ya Dunia imetoa makadirio yake ya kukua kwa uchumi katika nchi tano za Kiafrika. Nchi hizo ni Kenya, Nigeria, Ivory Coast, Senegal na Cameroon ambazo ziko barani Afrika. Angalia namna kutakavyokuwa na mafanikio na pia baadhi kurudi nyuma katika uchumi wa nchi hizi.
Je, unazifahamu nchi tano za Kiafrika ambazo Benki ya Dunia imetabiri uchumi wake utakua 2023?
Matukio
-
Machi 14, 2025
Changamoto za ulezi wa watoto walemavu kiakili Kenya
-
Februari 28, 2025
Waislamu wajitayarish kwa Ramadhani
-
Februari 27, 2025
Ethiopia na Somalia waimarisha uhusiano wao
-
Februari 18, 2025
Nini kilichosababisha Raila Odinga kushindwa katika uchaguzi wa AU?
-
Februari 11, 2025
Naibu Katibu Mkuu aeleza hatua za dharura zinazochukuliwa DRC