Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 07:00

Marekani: Biden awafariji wafiwa wa mauaji ya watoto Uvalde


Marekani: Biden awafariji wafiwa wa mauaji ya watoto Uvalde
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:09 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden Jumapili alikuwa Uvalde, katika mji uliopo kwenye jimbo la kusini magharibi la Texas, Marekani, kuhani wafiwa ikiwa ni mara ya pili mwezi huu kwenda katika mji ambao umeshuhudia shambulizi la bunduki.

XS
SM
MD
LG