Pia utaweza kusikia habari kuhusu Baraza la Seneti la Nigeria limeidhinisha benki ya maendeleo ya China kama mfadhili mpya wa mradi wa reli nchini humo. Na mengi tuliyokuandalia katika repoti hii. Endelea kusikiliza
Serikali ya Afrika Kusini yatangaza kusitisha hali ya kitaifa ya janga la mgogoro wa umeme
Matukio
-
Desemba 24, 2024
Waandishi wa habari Msumbiji wanavyopambana taarifa za uongo
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?