Donald Trump amekuwa rais wa zamani wa kwanza kukabiliwa na mashtaka ya uhalifu.
Katika hatua ambayo haijawahi kutokea katika historia ya Marekani, Jopo la Mahakama huko New York limepiga kura kumshtaki Trump kwa shutuma za uhalifu unaohusiana na kumnyamazisha mcheza filamu za ngono wakati wa kampeni yake ya urais mwaka 2016.
Mashtaka yaliyotarajiwa zaidi yanakuja wakati Trump anatafuta kurejea tena White House baada ya kushindwa azma yake ya kuchaguliwa tena 2020, na kumfanya kuwa yote rais pekee, hivi sasa au zamani na mgombea urais pekee aliyefunguliwa mashtaka.
Matukio
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?