No media source currently available
Hayati Malkia Elizabeth II alikuwa siyo mgeni Marekani, na kwa mujibu wa wanahistoria alikutana mara nyingi na marais wa Marekani kuliko mkuu yoyote wa nchi duniani.