Radio
21:00 - 21:29
Wataalamu wa afya wanaangazia mafanikio na changamoto za HIV na Ukimwi kuelekea malengo ya UN ya 2030 kusitisha maambukizi ya ugonjwa huo.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.