Radio
16:30 - 16:59
21:00 - 21:29
Madai ya watu kutekwa nyara Kenya. Polisi wanasema hawahusiki, wanataka wakenya kusema ukweli na ushahidi wa waliotekwa nyara
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.