Radio
21:00 - 21:29
Rais Tshisekedi wa DRC ameelezea kesi yake ya mageuzi ya katiba huku upinzani ukisema hatua yake ni kutaka aendelea kuwepo madarakani.
Kwa Undani ni matangazo ya dakika 25 yanayochambua habari kwa undani zaidi na kumpa msikilizaji maelezo ya kina kuliko ilivyo kawaida kuhusu tukio au swala lililojitokeza katika habari.