Radio
16:30 - 16:59
19:30 - 19:59
Watetezi wa haki wanazitaka serikali katika nchi zao kuongeza juhudi za kusitisha ukiukaji wa haki za binadamu.
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.