Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.
Musseveni awataka vijana Uganda waache ushabiki wa soka wa timu za nje
Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.
Sudan imekuwa na mgogoro mkubwa zaidi wa kibinadamu kuwahi kutambuliwa baada ya miezi 20 ya vita