Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 17:46

Wanasiasa wanadaiwa kuchochea vijana kuzua vurugu wakati wa kampeni


Wanasiasa wanadaiwa kuchochea vijana kuzua vurugu wakati wa kampeni
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:10 0:00

Miezi minne kabla ya kufanyika uchaguzi mkuu Kenya vyombo vya usalama vinazidi kumulikwa katika kampeni zinazoendeshwa na wanasiasa kuna madai kuwa wanasiasa wamechangia pakubwa katika kuwachochea vijana kuzua vurugu wakati wa kampeni zinazoendelea.

XS
SM
MD
LG