Kuna habari zinazoeleza Rais wa Russia Vladimir Putin anapanga kupeleka silaha huko Belarus bila ya kukiuka majumu yake ya kimataifa ya kutosambaza silaha za nyuklia. Ungana na mwandishi wetu akikueleza hatua ambayo Russia inachukua ya kupeleka silaha kali na kutoa mafunzo ya kuzitumia huko Belarus. Endelea kusikiliza...
Matukio
-
Desemba 24, 2024
Waandishi wa habari Msumbiji wanavyopambana taarifa za uongo
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu
-
Juni 11, 2024
Je mtu yeyote anaweza kuwa rais wa Marekani?