Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Desemba 27, 2024 Local time: 14:31

Mtaalam asema makala ya Royal Tour ni muhimu kwa utalii wa Tanzania


Mtaalam asema makala ya Royal Tour ni muhimu kwa utalii wa Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:35 0:00

Mtaalam aliyesimamia uzalishaji wa makala ya Royal Tour katika ubora wa kimataifa inayotangaza shughuli za utalii Tanzania na wito wa kuwekeza, anasema sekta hiyo ina nafasi kubwa ya kuitangaza Tanzania.

XS
SM
MD
LG