Viongozi wa Afrika na Marekani wanaokutana mjini Washington, DC wamezungumzia utawala bora na ushirikiano katika mabadiliko ya hali ya hewa na pia wamejadili usalama wa chakula kukabili upungufu wa chakula katika bara hilo la Afrika. Marekani imeahidi kufanya kila linalowezekana kusaidia kuboresha uzalishaji wa mazao ya chakula katika nchi za Afrika. Ungana na mwandishi wetu Abdushakur Aboud akikuletea repoti kamili inayoeleza ahadi ya Rais wa Marekani kuhusu uhusiano kati ya pande hizo mbili...
Marekani yaahidi kuisaidia Afrika kuboresha uzalishaji wake wa chakula
Matukio
-
Januari 17, 2025
Burhan awekewa vikwazo na Marekani
-
Desemba 24, 2024
Waandishi wa habari Msumbiji wanavyopambana taarifa za uongo
-
Desemba 23, 2024
Ghana yakabiliwa na wimbi la taarifa potofu zenye madhara
-
Desemba 20, 2024
Habari Potofu: MISA inawasaidia waandishi Malawi kujenga uaminifu