Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 22, 2025 Local time: 23:57

Marekani yaahidi kuisaidia Afrika kuboresha uzalishaji wake wa chakula


Marekani yaahidi kuisaidia Afrika kuboresha uzalishaji wake wa chakula
please wait

No media source currently available

0:00 0:11:56 0:00

Viongozi wa Afrika na Marekani wanaokutana mjini Washington, DC wamezungumzia utawala bora na ushirikiano katika mabadiliko ya hali ya hewa na pia wamejadili usalama wa chakula kukabili upungufu wa chakula katika bara hilo la Afrika.

Viongozi wa Afrika na Marekani wanaokutana mjini Washington, DC wamezungumzia utawala bora na ushirikiano katika mabadiliko ya hali ya hewa na pia wamejadili usalama wa chakula kukabili upungufu wa chakula katika bara hilo la Afrika. Marekani imeahidi kufanya kila linalowezekana kusaidia kuboresha uzalishaji wa mazao ya chakula katika nchi za Afrika. Ungana na mwandishi wetu Abdushakur Aboud akikuletea repoti kamili inayoeleza ahadi ya Rais wa Marekani kuhusu uhusiano kati ya pande hizo mbili...

XS
SM
MD
LG