No media source currently available
Wanaharakati wa Kenya waitaka serikali ya Eswatini kuwajibika kufuatia mauaji ya mwanasheria na mtetezi wa haki za binadamu Thulani Maseko kwa kupigwa risasi.