Wang ametoa matamshi hayo wakati wa mkutano na mwenzake wa Mirsi Badr Abdelatty mjini Beijing.
Amesema nchi zote mbili zina wasiwasi mkubwa kuhusu hali ilivyo nchini Syria na kutaka kuheshimiiwa mamlaka,
uhuru na uadilifu wa kieneo.
Waziri wa mambo ya nje wa China Wang YI: “Tumekubaliana kwamba tuhamasishe amani na majadiliano na kutafuta amani na utulivu Mashariki ya Kati.
Pande hizo mbili zina wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya sasa nchini Syria na kutoa wito wa kuheshimiwa mamlaka, uhuru na uadilifu wa Syria na kuanzisha mchakato wa kisiasa unaojumuisha wote haraka iwezekanavyo ili kuzuia ugaidi na vikosi vyenye msimamo mkali kuchukulia fursa ya hali ilivyo.
Forum