Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 08:13

Biden: Ushindi wa chama cha Republikan utadhoofisha demokrasia Marekani


Biden: Ushindi wa chama cha Republikan utadhoofisha demokrasia Marekani
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:37 0:00

Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa ushindi wa Chama cha Republikan katika uchaguzi wa katikati ya muhula uliofanyika leo utadhoofisha mfumo wa demokrasia nchini Marekani.

XS
SM
MD
LG