Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Aprili 02, 2025 Local time: 08:44

Umoja wa Mataifa yaongeza juhudi zake kukabiliana na janga la wakimbizi DRC


Umoja wa Mataifa yaongeza juhudi zake kukabiliana na janga la wakimbizi DRC
please wait

No media source currently available

0:00 0:04:23 0:00

Umoja wa Mataifa umesema umeongeza juhudi zake kukabiliana na janga la wakimbizi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutokana na vita vinavyoendelea.

Mapigano yanaendelea kati ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na serikali ya Rwanda yamesababisha watu kukimbia makazi yao. Ungana na mwandishi wa VOA Mary Mgawe katika sehemu ya pili ya mahojiano hayo akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wa UN, Joyce Msuya akiwa New York. Endelea kusikiliza ...

Forum

XS
SM
MD
LG