Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 20:48

Uchaguzi DRC watarajiwa kufanya Desemba 20, huku changamoto mbalimbali zikijitokeza

Uchaguzi DRC watarajiwa kufanya Desemba 20, huku changamoto mbalimbali zikijitokeza
please wait

No media source currently available

0:00 0:29:58 0:00

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inatazamiwa kufanya uchaguzi wa rais Desemba 20, wakati baadhi ya changamoto zinazohusiana na usalama na usambazaji wa vifaa vya kupiga kura bado zipo.

XS
SM
MD
LG