Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 21:20

Marekani inasema inafuatilia kwa karibu uasi wa Mamluki wa Wagner dhidi ya jeshi la Russia


Marekani inasema inafuatilia kwa karibu uasi wa Mamluki wa Wagner dhidi ya jeshi la Russia
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:28 0:00

Kiongozi wa mamluki Yevgeny Prigozhin, na wanajeshi wake wamaliza uasi wao uliyotokea Jumapili dhidi ya uongozi wa kijeshi wa Russia, huku haijajulikana kutakuwa na matokeo gani baada ya changamoto za kijeshi ambazo zilimalizika baada ya kuripotiwa makubaliano yaliyo simamiwa na Belarus.

XS
SM
MD
LG