Upatikanaji viungo

Breaking News
Ijumaa, Januari 24, 2025 Local time: 11:21

Kenyatta ataka pande zote katika mgogoro wa DRC kuweka silaha chini


Kenyatta ataka pande zote katika mgogoro wa DRC kuweka silaha chini
please wait

No media source currently available

0:00 0:08:37 0:00

Mchakato wa Nairobi wa kurejesha amani mashariki ya DRC umeingia awamu ya tatu mjini Nairobi kwa kutatua mgogoro wa mashariki ya Congo.

Hivi sasa mjumbe maalum wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Uhuru Kenyatta aliyekuwa rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amehimiza vikosi vya jeshi la DRC na waasi wa M23 kuweka silaha chini ili kuzuia maafa zaidi. Sikiliza ripoti hii maalum kuhusu hali ya usuluhisho ilivyo katika mgogoro huo…

XS
SM
MD
LG