Idara za serikali ya Marekani zilimefunguliwa rasmi baada kufungwa wiki tano, hata hivyo rais Donald Trump amesema , yuko tayari kuifunga tena serikali kama bunge halitopitisha bajeti ya kujenga ukuta katika mpaka wa kusini mwa nchi. Mzozo wa madaraka waendelea Venezuela.