No media source currently available
Mkuu wa masuala ya haki za binadamu wa umoja wa mataifa Michelle Bachelet ametoa wito wa kufanyika mazungumzo ya kutatua hali ya mvutano uliogeuka kuwa ghasia Venezuela.