Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Desemba 25, 2024 Local time: 20:24

Hayati Rais George H.W. Bush alikuwa kiongozi mashuhuri


Hayati Rais George H.W. Bush alikuwa kiongozi mashuhuri
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:53 0:00

Kabla ya kuchaguliwa kuwa Rais wa 41 wa Marekani, George H.W. Bush alitumikia nyadhifa mbalimbali katika serikali.

Akiwa mtumishi wa serikali alitumikia nafasi ya mkurugenzi wa shirika la ujasusi la Marekani (CIA), balozi wa Marekani Umoja wa Mataifa, Balozi nchini China, na nafasi ya makamu wa rais wa Marekani wakati wa Rais Ronald Reagan akiwa madarakani.
XS
SM
MD
LG