Maalim Seif Shariff Hamad kiongozi wa upinzani wa Zanzibar kwa karibu miongo mitatu, afariki akiwa na umri wa miaka 77 baada ya kuugua ugonjwa wa Covid-19.
Mchambuzi wa masuala ya kisiasa wa Tanzania Absalom Kibanda anasema amefarijika na uwamuzi wa ACT Wazalendo kujiunga na serikali, na huwenda ni somo walopata baada ya kususia uchaguzi wa 2015 na kutoshiriki kwenye serikali zilizopita.
Rais mteule Joe Biden kujadili janga la corona na msimu wa sikukuu katika hotuba yake.
“Tunafuatilia yanayojiri katika ofisi ya spika wa bunge la Tanzania na tukithibitisha hujuma au usaliti hatutasita kuchukua hatua.”
Ismail Jusa anasema ni baada ya ushauriano na kutafakari juu ya maoni ya wanachama, ndipo uwongozi wa ACT Wazalendo utamua kujiunga au la na serikali ya umoja wa kitaifa kama inavyohitajika na katiba.
Rais Magufuli azindua rasmi Bunge la Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa kuongoza taifa hilo kwa awamu ya pili.
Rais Magufuli afungwa na kuhutubia Bunge la Muungano wa Tanzania baada ya kuchaguliwa kuongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.
Magufuli mwishoni mwa mwezi uliopita alitangazwa mshindi kwenye uchaguzi mkuu baada ya kushinda zaidi ya asilimia 84 ya kura licha ya upinzani kulalamika kuwa zoezi hilo liligubikwa na dosari.
Baada ya wabunge 355 wampitisha Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, aliambia Bunge yuko tayari kulitumikia taifa.
Mgombea wa urais katika uchaguzi wa mwezi uliopita Tundu Lissu, anaishi katika ubalozi wa ujerumani mjini Dar-es-salaam kwa kuhofia maisha yake
Rais John Pombe Magufuli Alhamisi ameapishwa mjini Dodoma, makao makuu ya Tanzania kuongoza taifa hilo kwa miaka mitano ijayo.
Pandisha zaidi