Rais wa China Xi Jinping awasihi viongozi wa Afrika Kiafrika kutumia bidhaa zaidi za Kichina kwa mabadilishano ya ahadi ya mikopo na uwekezaji
Utoaji mimba umezuiliwa nchni Kenya, lakini katika Kaunti ya Kilifi upande kusini mwa pwani ya nchi hiyo, wanawake wengi na wasichana wanaopata uja uzito bila ya kupanga wanasema hawana uchaguzi isipokuwa kupitia utoaji mimba hatari bila ya msada wa muuguzu au daktari.
Moja ya vikwazo vikuu kwa wakimbizi wa Sudan kujaribu kujenga maisha mapya nchini Uganda ni lugha. Baadhi ya takriban watu 40,000 ambao wamewasili katika miezi ya karibuni walikuwa na wanajua kiingereza kidogo lakini hakiwasaidii kupata ajira au kuingia kwa urahisi katika jamii za Uganda.
Darzeni ya wanaharakati wanawake kutoka nchi tofauti walipewa tuzo za International Women of Courage kwa harakati zao katika kutetea haki za binadamu na wanawake.
Jaji wa mahakama kuu Dunstan Omari anasema uchaguzi wa mwaka huu utakuwa na tofauti kubwa hasa katika kumfahamu mpiga kura wa kweli na yule ambaye si wa kweli.
Wanawake nchini Misri wanadai kwamba hakuna mabadiliko yaliyopatikana kuhusiana na haki zao tangu mapinduzi ya 2011.
Watu 134 wanusurika katika ajali ya meli ya MV Stargate na maiti 31 ndiyo zimefanikiwa kupatikana
Siku ya Wanawake Duniani ilisherekewa kwa kaulu mbiyo ya kuwawezesha wanawake wa mashambani ili kutokomezwa njaa na ufukara.
UM umeeleza idadi ya wakimbizi wanaowasili Kenya kila siku imefikia 1 500, na kuzusha changamoto kubwa ndani ya kambi za wakimbizi.
Halmashauri Kuu ya Taifa ya chama cha CCM, inakutana Jumatatu kupendekeza majina na kuchagua viongozi wa Sekretarieti.
Kiongozi wa Libya ametangaza sitisho la mapigano na yuko tayari kwa mazungumzo na viongozi wa dunia watakutana kujadili suala hilo.
Mchambuzi wa siasa asema Marekani inaonyesha tahadhari kubwa katika mgogoro wa Misri kutokana na uhusiano wa muda mrefu kati yao.
Kundi la waasi nchini Somalia, Al-Shabab lenye uhusiano na mtandao wa Al Qaida ladai kuhusika na mashambulizi ya Jumapili nchini Uganda.