Siku ya kuapishwa kwa rais mpya ni kuthibitisha utaratibu unaoendelea wa serikali inayojitawala. Kiongozi mpya huapishwa, akipewa mamlaka ya kutawala kwa ridhaa ya wananchi.
Jengo la Bunge la Marekani likiwa tayari kwa sherehe za kuapishwa Rais mteule Joe Biden na Makamu Rais mteule Kamala Harris Jumatano huku uwanja ukiwa umepambwa kwa bendera katika viwanja vya National Mall mjini Washington.
Mhamiaji Sonam Zoksang anasema anamuangalia Biden, ...atatekeleza ujumbe wake wa kuleta umoja na maridhiano.“Naamini uongozi huu mpya na baadhi ya Warepulikan wema wanaweza kufanya kazi pamoja. Dunia inaiangalia Marekani kama ni mfano wa kuigwa.
Akirejea hotuba zake za zamani, Biden amesema ni “wakati wa kuepuka siasa za chuki, kupunguza jazba, kukutana tena, na kusikilizana kati yetu.”
Ushindi wa Biden utamfanya Trump kiongozi mkuu wa Marekani wa tatu katika miongo minne iliyopita kushindwa kuchaguliwa tena baada ya miaka minne ya uongozi wa taifa la Marekani.
Kushinda katika jimbo hili muhimu kutamuwezesha Biden kufikia kiwango cha kura 270 za wajumbe zinazohitajika ili kushinda uchaguzi wa rais.
Wakosoaji wanasema juhudi za Facebook kurekebisha kanuni na kuweka vizuizi zaidi vimekuwa na mianya isiyowezesha kutekelezwa, hata baada ya kutumia mabilioni kwa ajili ya mradi huo.
Trump ambaye yuko nyuma katika ukusanyaji wa maoni kitaifa, amerejea mara kadhaa – na bila ya ushahidi – kusema upigaji kura kwa njia ya posta unawizi na kughushi.
Hii ni moja ya hatua za kujenga uaminifu unaolenga azma ya kufufua mchakato wa mazungumzo ya amani yaliyokwama, Umoja wa Mataifa na vyanzo vingine vimesema Jumapili.
Hivi sasa kufuatia kifo cha Ginsburg, Trump anaweza kufanya kitu ambacho hakuna rais mwengine alitekeleza katika kizazi kilichopita: kumweka jaji mconservative nafasi iliyoachwa wazi na jaji mliberali.
“Leo hii hili ni tukio lenye msukumo wa kweli. Wananchi wa Afghanistan hatimaye wamechagua kukaa pamoja na kuunda muelekeo mpya kwa nchi yenu. Hii ni fursa ya kuwa na matumaini,” Pompeo amesema.
Malipo haya ni kwa yeyote anayetaka kupimwa COVID-19, lakini serikali imeorodhesha wale ambao lazima wafanyiwe vipimo.
“Iwapo serikali haihusiki kwa namna yoyote na shambulio hili, hivyo ni kwa maslahi yake kuja na ukweli juu ya hili.”
Siku ya Jumatatu asubuhi, Carine Kanimba binti wa mwanaharakati wa Rwanda Paul Rusesabagina alifahamu kuna jambo haliko sawasawa.
Mpaka sasa ziko chanjo tisa ambazo zinafanyiwa majaribio duniani mbili kati ya hizo zinafanyiwa majaribio Afrika.
Majimbo yasiopungua 33 hayafuati miongozo mipya ya CDC na wanaendelea kupendekeza watu wote waliokaribiana na virusi vya corona wapimwe hata kama hawana dalili za maambukizi
Mjini Zurich, waandamanaji wapatao 1,000 wakitilia mashaka kanuni zilizowekwa kudhibiti COVID-19 walidai “kurejeshwa kwa uhuru.”
Mshauri wa ngazi ya juu wa Trump Jared Kushner atakuwa kati ya maafisa wa Marekani katika ndege hiyo ya El Al itakayoanza safari yake Agosti 31...
Rais amesema amri hiyo ni ya nchi nzima kuanzia saa tatu usiku hadi za kumi alfajiri itaendelea kwa siku 30 zaidi.
Wapatanishi wa Jumuia ya Uchumi ya Africa Magharibi ECOWAS na viongozi wa mapinduzi wa Mali wamekubaliana juu ya baadhi ya mambo yanayolenga kurejesha utawala wa kiraia.
Pandisha zaidi