Wafuasi wa Rais Museveni washerehekea ushindi wake kenye uchaguzi wa rais huku wapinzani wakiongozwa na Bobi Wine wako kaika huzuni.
Mapinduzi ya nchi za kiarabu yaliyofahamika kama 'Arab Spring' yaliyowaondowa madarakani viongozi wa kimabavu wa nchi za kiarabu kuanzia Zine El-Abidine Ben Ali wa Tunisia, Hosni Mubarak wa Misri hadi Ali Saleh wa Yemen.
Serikali ya Addis Ababa ilitoa taarifa Jumamosi ikieleza kwamba roketi mbili ziliharibu sehemu ya uwanja wa ndege wa Gondar jimboni Amhara, Ijuma usiku na mmoja ikikosa shabaha yake kwenye uwanja wa ndege wa Bahir Dar.
Rawlings atakumbukwa kama kiongozi aliyeongoza mapinduzi ya kijeshi mara mbili nchini Ghana, na baadaye kuleta mfumo wa demokrasia kwa taifa hilo la Afrika Magharibi.
Rais Barack Obama amewahakikishia tena Wamarekani kwamba uwezekano wa kutokea mlipuko wa Ebola hapa nchini ni mdogo sana. Hii inafuatia kutangazwa kwamba muuguzi wa pili ameambukizwa virusi hivyo vya hatari aliyekua anamtibu mgonjwa wa Ebola, kutoka Liberia Bw. Duncan.
Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na waasi wa kundi la M23 yalianza kwa mvutano huko Kampala. wajumbe wamekuwa wakilaumiana na hivyo hakuna anaejuwa matokeo ya mazungumzo hayo kwa hivi sasa.
Miaka 18 baada ya uhuru wa Afrika Kusini kitongoji mashuhuri duniani kitovu cha vita dhidi ya ubaguzi wa rangi Afrika Kusini SOWETO , kingali na maendeleo yasiyo sawa kwa wakazi wake wote.
Polisi na jeshi la taifa la Tanzania walifanikiwa kuzuia maandamano kutokea katika jiji la Dar es Salaam siku ya Ijumaa kudai kuachiliwa kwa Shiekh Ponda
Mawaziri wa fedha watalamu wa fedha na uchumi na wakuu wa IMF na Benki kuu ya Dunia wakutana Tokyo kwa mkutanio wa mwaka.
Watu wamerusha gruneti kanisani Nairobi na kusababisha kifo cha mtoto mmoja na wengine kujeruhiwa. Muda mfupi baade washambuliaji wamewauwa polisi wawili Garissa
Jeshi la Congo la kumbwa na pigo kubwa kutokana na kuendelea kuasi kwa maafisa wa vyeo vya juu mashariki ya nchi na kujiunga na waasi
Rais Kiir anasema maafisa wa zamani na sasa wa Sudan Kusini wameiba dola bilioni 4 za mali ya umaa, na inabidi warudishe
Ushindi wa Hollande unachukuliwa ni wa kihistoria baada ya kuweza kukirudisha chama chake cha Socialist madarakani baada ya miaka 24
Serikali imewasitisha kazi maafisa wawili wa wizara ya afya, pale madaktari waliokuwa kwenye mgomo walianza kurudi kazini.
Maafisa wa usalama wanasema wangali wanawatafuta watu 70 ambao hawajulikani walipo baada ya meli kupinduka na watu watatu wamefarika
Wimbi la upinzani wa wananchi lililovuma katika nchi za Kiarabu mapema mwaka 2011 limebadilisha kabisa sera na siasa za dunia
Wachambuzi na marafiki wa Wangari Maathai wanazungumzia juu ya maisha ya mwanaharakti huyo wa kutetea mazingira, wanawake na mwanasiasa
Watu kote duniani wanasherekea siku ya Haki ya Kujua, kwa kuwahamisisha maafisa wa serikali kutoa habari zenye kulinda maslahi yao.
Mashambulizi ya Septemba 11 yameongeza mvutano kati ya waislamu na nchi za magharibi lakini pia idadi ya wanaosilimu imeongezeka
Katika kikao cha kihistoria kwenye bunge, jaji mkuu mteule Dr. Mutunga ajibu masuala kabla ya kuidhinishwa na kuahidi mageuzi makubwa
Pandisha zaidi