Upatikanaji viungo

Breaking News
Alhamisi, Januari 23, 2025 Local time: 21:23

Wananchi: Uhaba wa mafuta umelemaza sekta ya uchukuzi na kilimo Kenya


Wananchi: Uhaba wa mafuta umelemaza sekta ya uchukuzi na kilimo Kenya
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:17 0:00

Wiki ya tatu ya uhaba wa mafuta yakabili eneo la Kitale nchini Kenya ambapo msururu wa magari yanasubiri bidhaa hiyo ambayo wenyeji wanasema imelemeza sekta ya uchukuzi na shughuli za kilimo nchini humo.

XS
SM
MD
LG