Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatano, Januari 15, 2025 Local time: 09:12

Rais wa Uturuki aibua hoja katika kampeni upinzani unaunga mkono mapenzi ya jinsia moja


Rais wa Uturuki aibua hoja katika kampeni upinzani unaunga mkono mapenzi ya jinsia moja
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:33 0:00

Rais wa Uturuki amesema muungano wa upinzani unaunga mkono watu walio katika uhusiano wa mapenzi ya jinsia moja na kudai kuwa wanashirikiana na magaidi. Ungana na mwandishi wetu akikuletea ujumbe kamili wa rais huyo katika uchaguzi ambao unatarajiwa kuwa na upinzani mkali.

XS
SM
MD
LG