Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Desemba 22, 2024 Local time: 17:03

Prince Harry aeleza alivyozuia huzuni yake kufuatia kifo cha mama yake


Prince Harry aeleza alivyozuia huzuni yake kufuatia kifo cha mama yake
please wait

No media source currently available

0:00 0:00:38 0:00

Wakati wa kifo cha mama yake Princess Diana Mwanamfalme huyo alikuwa na umri wa miaka 12.

Hivi sasa Harry akiwa na umri wa miaka 35 ni mfadhili anayetumia mamlaka na ushawishi aliokuwa nao kusukuma mbele taasisi kadhaa duniani.

Prince Diana alikuwa maarufu akiwasaidia wale waliokuwa wakipambana na maradhi ya ukimwi, wakati jana hilo lilipotokea ambapo jamii ilighubikwa na hofu na uelewa potofu juu ya ugonjwa huo.
XS
SM
MD
LG