Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumapili, Novemba 24, 2024 Local time: 17:44

Matumizi ya Tehama mahakamani Tanzania kuboreshwa zaidi


Matumizi ya Tehama mahakamani Tanzania kuboreshwa zaidi
please wait

No media source currently available

0:00 0:02:44 0:00

Nchini Tanzania viongozi wanaeleza kuwa matumizi ya mifumo ya Tehama katika shughuli za mahakama imesaidia kutatua na kupunguza baadhi ya changamoto zinazoukabili mhimili huo ikiwemo za kuchelewa upangaji na usikilizwaji wa kesi.

Jaji Mkuu Ibrahimu Hamisi Juma anasema hata hivyo bado Changamoto imebaki kwa mahakama za mwanzo ambazo bado kuna vikwazo vinavyohitaji utatuzi ili kuwezesha mifumo ya Tehama kufungwa.
Jaji Mkuu ameyasema hayo wakati wa sherehe za kuanza kwa mwaka mpya wa Shughuli zamahakama nchini Tanzania
Naye Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akizungumza katika hafla hiyo ameagiza Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano pamoja na zingine zinazohusika katika mifumo ya utaoji haki kushughulikia changamoto hizo ili kufikia adhma ya kuboresha mifumo ya utoaji haki Tanzania
XS
SM
MD
LG