Upatikanaji viungo

Breaking News
Jumatatu, Desemba 23, 2024 Local time: 15:48

Makamu wa Rais wa Marekani afanya mazungumzo na Rais wa Tanzania


Makamu wa Rais wa Marekani afanya mazungumzo na Rais wa Tanzania
please wait

No media source currently available

0:00 0:03:10 0:00

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris na mwenyeji wake Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan wamefanya mazungumzo ya faragha kabla ya kukutana na waandishi wa habari.

XS
SM
MD
LG